Categories: EVENTSINTERVIEWS

EXCLUSIVE INTERVIEW!WITH BROWN OTILE AFTER THE ALL BLACK PARTY.

Well over the weekend of 21st MAY, club Xtacy-voi staged an all black party that was suppose to feature Colonel Moustapha as the main act. However that did not open. We can not really tell whether the club’s management deliberately duped the fans or not. However, with or without Moustapha the party would still be considered a success thank to the fast rising star Otile Brown who’s even lately done a collabo with hip hop bigwig the Talented Khaligraph Jones.   Still young yet very determine, the gentleman spoke to Voi2day in regard to his music performance and the Voi reception. 
 
VOI2DAY: We are glad you came through, you killed it especially after taking the place of Col Moustapha who was to perform tonight. You killed it for real.! Tell us something about the reception you from voi fans got during your killer performance tonight…

 

OTILE: Nafurahi sana hata sina mfano. Sikujua ya kwamba nilikuwa na support kiasi hii. The support the love ni real sikujua itawa hivi. Nilipokuja motisha ilikuwa ndogo lakini support ilinifanya nifanikishe..nashukuru sana. Voi ni pahala pazuri sana.Thanks for the love thanks for the support.
Otile Brown on stage at Club Xtacy
VOI2DAY: Twashukuru pia. Na hii ni mara ya kwanza kwako kuja Voi?..
OTILE: Ndio.Hii ni kwa sababu kutoka mwaka jana tulikuwa focused katika kuunda na kurelease album yangu pamoja na team yangu.Hatukuwa na moto ya kuenda hapa na pale katika mashow kwani hatukuwa tumepatia kutengeneza fedha kipau mbele ila kuunda muziki unaoweza kufanikisha. Wajua unapoweka fikira zako katika kupata hela kutokana na muziki utapata kwamba unapoteza focus kama vile wasanii wengi wa kisasa. Sisi tulikuwa tuna focus sana katika kujenga brand yangu.
VOI2DAY: And so far…
OTILE: So far so good. Kwa sasa ni back to back shows. Hata hivi wiki ijayo natumai mimi na team yangu tutafika Mwatate kufanikisha. Pia vitu kibao viko store. Nawaandalia vitu kibao mwaka huu natumai masupporter wangu watawa name all the way.
a section of the thrilled fans
VOI2DAY: Na kabla sijasahau, hongera kwa colabo mzuka ulizo twandalia hadi sasa especially ile King Kaka na Khaligraph Jones. More collabos to come?
OTILE: Shukran kwa pongezi  singependa kuwaangusha ma supporter wangu kamwe. Collabo ni

kibao na pia na believe in good music si believe in collabo na wasanii wakubwa pekee. Unaweza toa collabo na mtu aliyefanikisha tayari kimuziki na collabo isiwe kali kama inavyo tarajiwa. Mimi huwa sibagui katika kuchagua nitakaye fanya naye collabo kwani unaeza toa collabo na msanii mdogo na track yenu ikaja sifika. Nina collabo na Nameless tayari imelala twasubiri wakati mwafaka wa kuirelease.

VOI2DAY: Other collabos on the way …
OTILE: Collabo zaja kwa mpigo. Collabo na Vanessa Mdee na ya Ali Kiba zipo njiani. Ninachowasihi ni mnishikilie na tutafanikisha kwa mpigo!
VOI2DAY: Hapo sawa! Na kwa wale wanaotaka muziki wako.wataipata kwa njia ipi ama kwa wale wanaotaka kuconnect nawe kama ma supporter wako watawasiliana nawe kwa njia gani?
Mr ALLY ALLY ,his manager
OTILE: Video zangu utazipata katika YouTube channel yangu ‘Otile Brown’. Downloads unaeza pata kwa Mziki au katika Bonyeza kwa kubonyeza *699*74#. Kwa Mziki log in utafute jina langu utapata mziki yangu hapo.
VOI2DAY: Na katika social media?
OTILE: Katika Facebook, Twitter na Instagram zote ni ‘Otile Brown’.
VOI2DAY: Asante sana kwa kutenga muda wako na ukaja na ukafanikisha twashukuru kwa dhati. Twatumai utaja tena raundi ya pili ufanikishe Mr. Otile
OTILE: Shukran na bila shaka nitakuja tufanikishe raundi nyingine. Shukrani!

Comments

comments

Leave a Comment
Share
Published by
Eriq Forsky

Recent Posts

A sneak peek into the BBI report recommendations.

There is much talk of election politics in the Building Bridges Initiative (BBI) report launched…

4 months ago

What do you have planned for the festive season

2019 is over and the festive season is upon us. In short what I am…

4 months ago

FGM and gender malpractices still experienced in the country

I was having one of those casual talks with an acquaintance of mine who confessed…

4 months ago

Understand the unveiled BBI (Building Bridges Initiative)

For months there has been much speculation on the BBI report and what it entails.…

4 months ago

16 days of activism against Gender Based Violence

16 days of activism is a global campaign that was started 28 years ago to…

4 months ago

Muhuri holds the second media workshop for Taita Taveta journalists

For a second round the Muslims for human rights organization held a media workshop at…

4 months ago

This website uses cookies.